Logo

Chemba District Council

EduAttend - Teacher Attendance Management System

Developer
Rudi Home
Mtengenezaji wa Mfumo

Mimi ni Dotto T. Charles

Mimi ni msanidi wa mifumo ya kompyuta (Software Developer) mwenye uzoefu katika kutengeneza mifumo ya kisasa ya serikali, elimu na taasisi mbalimbali.

Mfumo wa EduAttend umetengenezwa kwa lengo la kuboresha usimamizi wa mahudhurio ya walimu kwa kutumia teknolojia za kisasa kama GPS, taarifa za muda halisi na usalama wa data.

Nina passion kubwa ya kutumia teknolojia kutatua changamoto za kijamii na kuboresha utoaji wa huduma kwa taasisi za umma.

Elimu

Bachelor of Science with Education in Mathematics and Information Communication Technology(ICT)-Mzumbe University

Utaalamu

Laravel, PHP, JavaScript, C, C++, Python, Java, MySQL, PostgreSQL, Bootstrap, Mobile Friendly UI/UX, Web Development.

Mawasiliano

Simu: +255-621-015-458
Email: tittocharles@gmail.com

Mahali

Chemba District Council
Available for projects & collaboration.

Uwezo na Teknolojia

Baadhi ya teknolojia na maeneo ninayofanyia kazi.

Backend Development

Laravel Framework
PHP & REST APIs
MySQL Database

Frontend Development

HTML5 & CSS3
Bootstrap & Responsive Design
JavaScript UI/UX

Mfumo Maalum

GPS Attendance Systems
Online Land Registration and Verification System
School Management Systems
Shop Management Systems

Wasiliana Nami

Kwa mawasiliano, ushauri wa mifumo, website development, au miradi ya teknolojia, unaweza kuwasiliana nami kupitia njia zifuatazo.